Top Ad unit 728 × 90

HEADLINES

recentposts

MH. MAJALIWA AFUNGUA UKUMBI WA SACCOS YA MELI NNE, ZANZIBAR NA KUZUNGUMZA


Waziri Kassim Majaliwa , viongozi mbalimbali wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd wakati alipozungumza baada ya Waziri Mkuu kufungua SACCOS ya Melinne mjini Zanzibar Januari 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha Seif Idd kabla ya kufungua ukumbi wa SACCOS ya Melinne mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya shughuli za sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua SACCOS ya Melinne mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchama wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua ukumbi wa SACCOS hiyo Januari 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar baada ya kufungua ukumbi wao Januari 11, 2017. Kulia kwake ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Idd baada ya kufungua ukumbi wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar Januari 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MH. MAJALIWA AFUNGUA UKUMBI WA SACCOS YA MELI NNE, ZANZIBAR NA KUZUNGUMZA Reviewed by Mkali Wao on Thursday, January 12, 2017 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by ZOTE KALI | Blog © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.