DAVID BECKHAM AWAPIKIA CHAPATI WATOTO WAKE SIKU YA CHAPATI YA MAJI

David Beckham ameonyesha ujuzi wake wa kupika chapati za maji, katika Siku ya Chapati ya Maji kwa kuonyesha majonjo ya kugeuza chapati.

Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United, anaonekana akizungusha chapati aliyokuwa akipika kikaangoni na kisha kuigeuza kwa kuirusha juu.


Katika video yake aliyotupia kwenye Instagram Beckham anasikika akiwatakia watoto wake siku njema ya chapati, huku akifurahia namna alivyogeuza chapati aliyopika.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post