NDEGE NDOGO YAANGUKIA MAKAZI CALIFORNIA NA KUUWA WATU WATATU

Watu watatu wamekufa na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya familia iliyokuwa ikitokea kwenye shindano lililokuwa likifanyika Disneyland ndege yao yao kuangukia nyumba mbili Jijini California

Ndege hiyo ndogo aina ya Cessna ikiwa watu wazima wawili na vijana watatu, imeanguja jana na kulipuka kisha kusababisha moto kwa eneo la wakazi wa Riverside, California,

Haikufahamika mara moja iwapo wahanga wa tukio hilo ni waliokuwa kwenye ndege ama ni wakazi wa nyumba zilizoangukiwa.
                          Askari wa vikosi vya uokoaji wakiwa juu ya bati la moja ya nyumba

Wakazi wa eneo hilo la Riverside wakiwa wamepigwa na butwaa wakiangali tukio la ajali hiyo
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post