SMZ YAKABIDHIWA VIFAA VYA KUBORESHA HUDUMA ZA MACHO

SHARE:

Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali la Sightsavers limekabidhi vifaa vyenye   thamani ya shilingi 78,765,898 kwa Serikali ya Mapind...

Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali la Sightsavers limekabidhi vifaa vyenye   thamani ya shilingi 78,765,898 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili visaidie katika kuboresha huduma za macho na kutokomeza upofu unaoweza kutibika.
Vifaa hivyo vimekabidhiwa hivi karibuni Mjini Unguja na Mkurugenzi wa Shirika hilo, Gosbert Katunzi ambaye amesema msaada huo ni mwendelezo wa mkakati wa shirika hilo kusaidia juhudi za Serikali katika kuinua huduma za Afya.
Katunzi amesema tangu mwaka 2012-2016 jumla ya shilingi bilioni 1.6 zimetumika katika kutoa misaada kwenye sekta ya afya ambapo vifaa pekee vimegharimu jumla ya kiasi cha shilingi 309,419,399.
Pia jumla ya shilingi bilioni 1.3 zimetumika katika kukarabati majengo ya matibabu ya macho katika Hospitali za Mnazi Mmoja, Wete na Chakechake Vision Centre, kusomesha wataalam wa macho wa kada mbalimbali, manunuzi ya dawa, kufanya uhamasishaji jamii pamoja na kuwezesha huduma karibu na wananchi.
“Katika kipindi cha miaka mitano wananchi takribani 1,065,060 wamenufaika na huduma za uchunguzi wa macho ambapo kati ya wananchi 4,307 waliofanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho watoto ni 408, waliopatiwa miwani ni 18,529 na waliopatiwa matibabu mengine ya macho ni 300,640,” amesema Katunzi.
Aidha, Katunzi amevitaja baadhi ya vifaa vilivyotolewa na taasisi yake kuwa ni kifaa cha kuchunguza saratani ya macho pamoja na  vifaa vya uchunguzi wa macho(uoni) kiujumla pamoja na lensi mbalimbali za kutengenezea miwani ya watoto na watu wazima.
Vile vile, Katunzi amewashukuru Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo pamoja na watendaji wa Wizara yake kwa kudumisha ushirikiano na taasisi yake pamoja na wadau mbalimbali wa afya katika kuhakikisha wananchi wa visiwani wanafikiwa na huduma za afya.
Hata hivyo, Shirika la Sightsavers ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalofanya kazi kwa ushirikiano wa nchi zinazoendelea katika kuzuia upofu unaozuilika, pamoja na kusaidia wagonjwa wa macho wenye uoni hafifu na ulemavu unaotokana na magonjwa ya macho, Sightsavers ilianza kufanya kazi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar tangu mwaka 2006.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SMZ YAKABIDHIWA VIFAA VYA KUBORESHA HUDUMA ZA MACHO
SMZ YAKABIDHIWA VIFAA VYA KUBORESHA HUDUMA ZA MACHO
https://4.bp.blogspot.com/-NUMCFWU3Sds/WLWh9xP7DbI/AAAAAAAAW9U/pwHI-WxGtP0cMVrdBvT2Qoch_VqnEYPTwCLcB/s1600/SMZ.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-NUMCFWU3Sds/WLWh9xP7DbI/AAAAAAAAW9U/pwHI-WxGtP0cMVrdBvT2Qoch_VqnEYPTwCLcB/s72-c/SMZ.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/02/smz-yakabidhiwa-vifaa-vya-kuboresha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/02/smz-yakabidhiwa-vifaa-vya-kuboresha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy