ALEXIS SANCHEZ ASEMA ANATAKA KUONDOKA ARSENAL

Alexis Sanchez anataka kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu huu baada ya kuchukizwa na kuwekwa benchi na kocha Arsene Wenger katika mchezo waliofungwa magoli 3-1 na Liverpool.

Uhusiano wa mchezaji huyo raia wa Chile na Wenger umezidi kuharibika baada ya kubwatukiana katika mazoezi kuelekea mchezo na Liverpool.

Sanchez amesema kuwa amefikia uamizi wa kutafuta klabu nyingine katika kipindi cha msimu wa joto, na Arsenal wanaelewa kuhusiana nia yake hiyo.
  Alexis Sanchez akiwa amewekwa benchi nyuma ya kocha Wenger katika mchezo na Liverpool

   Alexis Sanchez akiwa ameonyoosha mkono; ni kama anasema mimi na Arsenal basi sasa
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post