MANDALIZI YA SERENGETI BOYS ALI KIBA,DIAMOND NDANI

-Serengeti boys itashiriki michuano ya Africa chini ya miaka kumi na Saba AFCON U17 Katika maandalizi ya kushiriki Waziri wa Habari, Sana'a utamaduni na Michezo  Nape Nauye  Leo ametangaza kamati ya watu kumi ya kusaidia maandalizi ya Serengeti boys.Waziri Nape amesema kazi kubwa ya kamati Hii ni kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kwenye maandalizi ya timu. 

-Kamati hiyo Itakuwa chini ya Mwenyekiti Charles Hillary  Mwanahabari mkongwe kutoka azam TV., Katibu wa kamati atakuwa Katibu wa shirikisho la Tanzania TFF  Selestine Mwesigwa   Huku wajumbe wakiwa wanamziki Alikiba na Diamond , wengine ni Maulid Kitenge, Ruge Mtabaha,  Erick Shigongo , Hassan Abbas,  Beatrice  Singano na Mwanamitindo Hoyce Temu. 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post