ARSENAL BADO TEJA KWA BAYERN MUNICH YACHAPWA MKONO TENA

Arsenal waliobakia kumi wametolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 kwa mara ya saba mfululizo baada ya kufungwa kwa ujumla wa magoli 10-2 na Bayern Munich katika michezo yote miwili.

Katika mchezo wa jana Arsenal ambayo mchezo wa awali ilifungwa magoli 5-1 nchini Ujerumani, ilipata goli la kwanza kupitia kwa Theo Walcott katika dakika ya 20, kabla ya Bayern kupatiwa penati iliyosababishwa na Laurent Koscielny.

Robert Lewandowski aliitupia penati hiyo wavuni na kusawazisha goli, kisha Arjen Robben akafunga goli la pili, Douglas Costa akafunga goli la tatu na kisha baadaye Arturo Vidal akafunga la nne katika dakika ya 80 na kuongeza la tano dakika ya 85.
                           Theo Walcott alikuwa wa kwanza kufunga goli katika mchezo huo 
                                 Robert Lewandowski akisawazisha goli kwa mkwaju wa penati

                                   Laurent Koscielny akipewa kadi nyekundu na kutolewa nje
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post