AS MONACO YAZIDI KUCHANJA MBUGA UFARANSA

MABAO mawili ya kipindi cha pili ya mshambuliaji kinda wa Ufaransa,Kylian Mbappe na kiungo wa Ureno,Joao Moutinho yameipa AS Monaco ushindi wa mabao 2-1 nyumbani Stade Louis II dhidi ya Girondins de Bordeaux jana Jumamosi usiku.

Ushindi huo umeifanya AS Monaco ifikishe pointi 68 na kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligue 1 pointi tano mbele ya Nice inayoshika nafasi ya pili. Timu zote zimecheza michezo 39.Bao la Girondins de Bordeaux limefungwa na Diego Rolan.

Ligi hiyo itaendelea tena leo ambapo mabingwa watetezi Paris St Germain, watakuwa wageni wa Lorient. 

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post