BASATA KUTOA TUZO KWA WANAFUNZI WALIOFAULU MASOMO YA SANAA

SHARE:

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kuratibu ukuzaji na uendelezaji wa sekta ya Sanaa nchini litatoa tuzo kwa wanafunzi wa...

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kuratibu ukuzaji na uendelezaji wa sekta ya Sanaa nchini litatoa tuzo kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini waliofanya vizuri kitaifa katika masomo ya Sanaa za Muziki, Ufundi na Maonyesho kwenye matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne uliofanyika mwezi Oktoba,2016 na matokeo yake kutoka hivi karibuni. Aidha, sambamba na kutunuku vyeti na Zawadi za fedha taslimu kwa wanafunzi hao BASATA litatambua mchango wa walimu wa masomo husika na shule zilizofanya vizuri katika mchepuo wa Sanaa.
Hafla hiyo ambayo itawakutanisha wanafunzi hao, walimu wao pamoja na wadau mbalimbali wa Sanaa itafanyika siku ya Jumatatu tarehe 27/03/2017  saa 4:00 asubuhi katika Ukumbi wa BASATA ulioko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
Ili kutambua,kuibua na kukuza vipaji vya Sanaa kutoka ngazi za chini na kuamsha ari ya masomo ya mchepuo wa Sanaa katika mitaala yetu ya elimu sambamba na kujenga weledi katika tasnia ya Sanaa kwa ujumla wake  Baraza limeamua kurejesha programu hii ya utoaji wa tuzo kwa wanafunzi wa shule za sekondari kila mwaka ambao wanashika nafasi za juu kitaifa katika masomo ya sanaa husasan Sanaa za Ufundi, Maonyesho na Muziki
Itakumbukwa kuwa BASATA limekuwa na mwendelezo wa programu mbalimbali za Sanaa kwa watoto zilizoanza tangu miaka ya 1980 ambazo zimepata kuibua na kukuza vipaji vya wasanii. BASATA linachukua fursa hii kuwaalika wananchi na wadau wote wa sanaa kufika kwa wingi kushuhudia utoaji wa tuzo hizi.
Sanaa ni kazi, tuipende, tuikuze na kuithamini
Godfrey Mngereza,  Katibu MTENDAJI. 23 MACHI, 2017

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BASATA KUTOA TUZO KWA WANAFUNZI WALIOFAULU MASOMO YA SANAA
BASATA KUTOA TUZO KWA WANAFUNZI WALIOFAULU MASOMO YA SANAA
https://2.bp.blogspot.com/-8rOEN7P0Trc/WNOjBXo8s5I/AAAAAAAAYhM/og3daxN1ti0ARZYbdrGpF4GOPh6cpmkKACLcB/s1600/Untitled-768x310.png
https://2.bp.blogspot.com/-8rOEN7P0Trc/WNOjBXo8s5I/AAAAAAAAYhM/og3daxN1ti0ARZYbdrGpF4GOPh6cpmkKACLcB/s72-c/Untitled-768x310.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/basata-kutoa-tuzo-kwa-wanafunzi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/basata-kutoa-tuzo-kwa-wanafunzi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy