BASI LA KANISA LAGONGANA NA PICK-UP NA KUUWA WATU 13

Watu 13 wamekufa na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya basi la kanisa lililokuwa limewabeba watumishi waandamizi wa kanisa kutoka mkutano wa kujitathimini kugongana gari aina ya pick-up nchini Marekani.

Ajali hiyo imetokea jana majira ya saa 12:30 nje kidogo ya Garner State Park, maili 75 magharibi mwa San Antonio, Texas.

Mamlaka za Texas bado hazijaeleza kama wote waliokufa walikuwa kwenye basi hilo la kanisa ama kwenye gari la pick-up. 

 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post