BEI KUBWA YA UNGA WA UGALI YAWAFANYA WAKENYA SASA KUGEUKIA ULAJI WA CHAPATI

Ulaji wa chapati umeanza kushika kasi nchini Kenya kiasi cha kupita ulaji wa ugali ambao ndio chakula kikuu cha wananchi wa nchi hiyo.

Hali hiyo ya ongezeko la ulaji wa chapati nchini Kenya linachangiwa na ongezeko kubwa la bei ya unga wa ugali.

Mfuko wa Kg 90 wa unga wa ugali unauzwa shilingi za Kenya 4,483 ikilinganishwa na mfuko wa unga wa ngano wa Kg 90 Sh 3,945.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post