BRAZIL YAITUNGUA URUGUAY WAKATI PAULINHO AKIFUNGA HAT-TRICK

Timu ya Brazil imetokea nyuma kufungwa goli moja na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Uruguay katika mchezo wa kutinga michuano ya Kombe la Dunia.

Katika mchezo huo Brazil walifungwa goli katika dakika ya tisa tu kufuatia penati iliyopigwa na mchezaji wa PSG Edinson Cavani.

Paulinho aliyefunga magoli matatu 'hat-trck' katika mchezo huo alisawazisha goli na kuongeza mengine kabla ya Neymar kufunga goli la nne.
                                               Edinson Cavani akifunga goli kwa mkwaju wa penati 

                             Neymar akidhibitiwa kati kati ya msitu wa mabeki wa Uruguay
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post