CHAMA CHA REPUBLICAN CHAJA NA MBADALA WA OBAMACARE

Chama cha Republican kimebainisha mpango uliokuwa unangojewa kwa muda wa mbadala wa sheria ya huduma za afya iliyopitishwa na rais Barack Obama maarufu kama Obamacare.

Mapendekezo ya muswada huo mpya wa sheria ya huduma za afya unapendekeza adhabu kwa mtu ambaye hatokuwa na bima ya afya nchini Marekani.

Chama cha Democrats kimeukosoa mara moja mpango huo wa rais Donald Trump na kusema kuwa utapandisha gharama za huduma za afya.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post