CHATU AKUTWA AKIWA AMEMEZA MTU ALIYETOWEKA NCHINI INDONESIA

Mwanaume mmoja aliyetoweka nchini Indonesia amekutwa akiwa amekufa baada ya kumezwa na nyoka aina ya chatu.

Mwanaume huyo aitwae Akbar alitoweka tangu jumapili katika kisiwa cha Sulawesi, baada ya kuondoka nyumbani kwenda kuvuna mafuta ya mzaituni.

Katika kumtafuta mwanaume huyo polisi walimuona nyoka aliyemeza kitu kikubwa na walipomuua na kumpasua wakamkuta mtu ameshakufa.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post