CHEGE & TEMBA FT. EMMY WIMBO – GO DOWN [OFFICIAL MUSIC VIDEO]

Wanamuziki wawili ambao wamekuwa wakifanya kazi kwa pamoja kwa muda mrefu sasa, Chege na Temba, wameachia wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Go Down.

Wimbo huu wamemshirikisha mwanamuziki Emmy Wimbo ambapo audio imetengenezwa na Ambrose Dunga na B Skills. Burudika na video hapa chini;
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post