DAHUU ALILIA TAFRIJA YA ALI KIBA.

Bishost anayefanya pouwa kwenye media ya Entertainment hapa bongo kutoka Clouds Fm Husna Abdul amejikuta akimlaumu Msanii bora wa kutumbuiza Afrika Alikiba kuwa hajamualika kwenye chakula cha shukrani kilichofanyika Hotel ya kifahari ya Double Tree.
Dahuu alijikuta akiyatoa maneno hayo hewani kwenye kipindi cha Leo Tena ikiwa ni siku moja tu baada ya msanii huyo kurejea nyumbani akitokea South Afrika alipokwenda kufanya show kadhaa pamoja na kupokea Tuzo yake ya Best African Act iliyotolewa na Kituo cha Televisheni cha MTV Europe.
Umati wa mashabiki wa Msanii huyo uliojitokeza kumpokea siku ya jana J K Nyerere Airport hadi nyumbani kwao Ilala na kisha tafrija fupi iliyofanyika katika Hotel ya Double tree masaki.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post