DIAME AKITOSA RASMI KIKOSI CHA SENEGAL, AACHA UJUMBE MZITO

SHARE:

Kiungo mchezaji ambaye ni raia wa Senegal, Mohamed Diame ametangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya taifa kwa kuwasilisha ujumbe mzito k...

Kiungo mchezaji ambaye ni raia wa Senegal, Mohamed Diame ametangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya taifa kwa kuwasilisha ujumbe mzito kwa mashabiki wa soka.
Kupitia ujumbe huo, mchezaji huyo amesema haamini kama anastahili kuwa sehemu ya wachezaji walioipa mafanikio nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Diame mwenye umri wa miaka 29, ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Newcastle Utd ya nchini England, ametangaza kuachana na Simba wa Teranga baada  ya kucheza michezo 36 sambamba na michuano ya Olimpiki ya mwaka 2012 iliyofanyika jijini London.
“Ninaamini Senegal itaendelea kubaki salama na itakuwa na uwezo zaidi wa kupambana na timu nyingine barani Afrika na duniani kwa ujumla, wachezaji 23 ambao watateuliwa kwa ajili ya michuano yoyote ile watakuwa na uwezo mkubwa wa kulitetea taifa langu,” alisema Diame.
“Baada ya kujifikiria kwa kina, nimeamua kuachana na mpango wa kuitumikia timu yangu ya taifa, naamini wapo watakaokwazika na maamuzi haya, lakini sina budi kusema samahani kwao, inanibidi kuchukua maamuzi haya mazito,” aliongeza.
Diame amekuwa akitumika kama mchezaji wa akiba tangu kocha wa sasa wa Senegal Aliou Cisse, alipokabidhiwa kikosi mwezi Machi mwaka 2015.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DIAME AKITOSA RASMI KIKOSI CHA SENEGAL, AACHA UJUMBE MZITO
DIAME AKITOSA RASMI KIKOSI CHA SENEGAL, AACHA UJUMBE MZITO
https://4.bp.blogspot.com/-dDS2PW7yNEo/WMe27HTm2sI/AAAAAAAAX4g/Bsjb1PhDDfopVmjcZy4ruhkettc4vIRqACLcB/s1600/Mohamed-Diame.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-dDS2PW7yNEo/WMe27HTm2sI/AAAAAAAAX4g/Bsjb1PhDDfopVmjcZy4ruhkettc4vIRqACLcB/s72-c/Mohamed-Diame.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/diame-akitosa-rasmi-kikosi-cha-senegal.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/diame-akitosa-rasmi-kikosi-cha-senegal.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy