DJIBOUTI KUMUUNGA MKONO AHMAD AHMAD

SHARE:

Rais wa chama cha soka nchini Djibouti, Souleiman Hassan Waberi ameungana na baadhi ya mataifa ya bara la Afrika yanayomkubali mgombea na...

Rais wa chama cha soka nchini Djibouti, Souleiman Hassan Waberi ameungana na baadhi ya mataifa ya bara la Afrika yanayomkubali mgombea nafasi ya urais wa CAF kutoka Madagascar Ahamd Ahmad.
Maamuzi ya Waberi yanakwenda kinyume na marais wa vyama vya soka ukanda wa mashariki mwa Afrika ambapo kwa pamoja walikubaliana kumuunga mkono rais wa sasa wa CAF Issa Hayatou, anaewania kiti hicho kwa mara ya nane mfululizo.
“Sisi kama Djibouti tunataka kuona mabadiliko katika soka la Afrika, tutahakikisha tunakwenda kumchagua Ahmad. Tutapiga kura kwa ajili ya mabadiliko kama ilivyokua wakati wa uchaguzi wa urais wa FIFA ambapo asilimia kubwa tulimchagua Gianni Infantino,” Waberi aliliambia shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Hata hivyo kiongozi huyo ameomba asionekane kama msaliti dhidi ya wanachama wengine wa baraza la vyama vya soka ukanda wa mashariki mwa Afrika (CECAFA), kwa kusema maamuzi aliyoyachukua ni kwa ajili ya kuona Afrika inabadilika.
Mwishoni mwa juma lililopita rais wa shirikisho la soka nchini Uganda Moses Magogo, alishindwa kuwathibitishia waandishi wa habari ni wapi atakapoiweka kura yake lakini alitoa ahadi ya kuachiwa jambo hilo hadi siku chache kabla ya uchaguzi wa urais wa CAF.
Magogo alihojiwa na vyombo vya habari kuhusu uamuazi wake wa kupiga kura, wakati wa ziara ya rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino alipotembelea nchini Uganda.
Ukanda wa soka mashariki mwa Afrika (CECAFA) una nchi wanachama 11 ambao ni Djibouti, Sudan, South Sudan, Uganda, Burundi, Tanzania, Rwanda, Somalia, Eritrea, Ethiopia na Kenya.
Ahmad ambaye pia ni rais wa chama cha soka nchini Madagascar tayari ameshapata uhakika wa kura za ukanda wa kusini mwa Afrika (COSAFA), huku rais wa shirikisho la soka nchini Nigeria Amaju Pinnick akithibitisha kuwa pamoja na mgombea huyo.
Uchaguzi wa rais wa CAF umepangwa kufanyika Machi 16 mjini Adis Ababa nchini Ethiopia.
Issa Hayatou, alianza kuliongoza shirikisho la soka barani Afrika tangu mwaka 1988.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DJIBOUTI KUMUUNGA MKONO AHMAD AHMAD
DJIBOUTI KUMUUNGA MKONO AHMAD AHMAD
https://2.bp.blogspot.com/-m7yK4OoZjEw/WL0mqc0NpGI/AAAAAAAAXeo/QGn5F5XYVncJNGDqvNfFyQoIU4ExpWbLwCLcB/s1600/Ahmad-Ahmad.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-m7yK4OoZjEw/WL0mqc0NpGI/AAAAAAAAXeo/QGn5F5XYVncJNGDqvNfFyQoIU4ExpWbLwCLcB/s72-c/Ahmad-Ahmad.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/djibouti-kumuunga-mkono-ahmad-ahmad.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/djibouti-kumuunga-mkono-ahmad-ahmad.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy