FA WAIKWANGUA MANCHESTER CITY

SHARE:

Klabu ya Manchester City imetozwa faini ya Pauni 35,000, baada ya kukutwa na hatia ya kushindwa kuwazuia wachezaji wake wasifanye vitendo...

Klabu ya Manchester City imetozwa faini ya Pauni 35,000, baada ya kukutwa na hatia ya kushindwa kuwazuia wachezaji wake wasifanye vitendo vya utovu wa nidhamu wakati wa mchezo wa ligi ya England dhidi ya Liverpool uliochezwa Machi 20.
Chama cha soka nchini England kiliifungulia mshataka klabu hiyo ya mjini Manchester baada ya kufuatialia kwa kina matukio kadhaa ya utovu wa nidhamu yaliyoonyeshwa na wachezaji wa Man City, na kubwa zaidi lililopewa uzito ni lile la kumzonga mwamuzi Michael oliver katika dakika 50 alipoamuiru mkwaju wa penati uliosababishwa na beki wa pembeni Gael Clichy kwa kumchezea ndivyo sivyo mshambuliaji Roberto Firmino.
Katika tukio la kumzonga mwamuzi, kiungo mshambuliaji wa Man City David Silva alionyeswa kadi ya njano.
“Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu, tumebaini Man City walikuwa na hatia ya utovu wa nidhamu wakati wa mchezo dhidi ya Liverpool na benchi la ufundi lilishindwa kusimamia kitendo hicho kisitokee, hivyo tunaitoza faini ya Pauni 35,000.” Ilieleza taarifa ya FA.
Man City wamekumbwa na adhabu hiyo, wakiwa katika mipango ya kusafiri hadi jijini London, kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu mwishoni mwa juma hili ambapo watacheza dhidi ya Arsenal kwenye uwanja wa Emirates.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FA WAIKWANGUA MANCHESTER CITY
FA WAIKWANGUA MANCHESTER CITY
https://3.bp.blogspot.com/-rgBZ-_whfRI/WNosN9rkv6I/AAAAAAAAYzw/7jVMjIzJWTEfkl9Gygp5r-0C4KtO2fN5ACLcB/s1600/Manchester-City.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-rgBZ-_whfRI/WNosN9rkv6I/AAAAAAAAYzw/7jVMjIzJWTEfkl9Gygp5r-0C4KtO2fN5ACLcB/s72-c/Manchester-City.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/fa-waikwangua-manchester-city.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/fa-waikwangua-manchester-city.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy