GARETH BALE AWAANGUKIA WADAU REAL MADRID

SHARE:

Mshambuliaji wa pembeni wa Real Madrid  Gareth Bale amewaomba radhi viongozi, mashabiki na wachezaji wa klabu hiyo, kufuatia kuonyeshwa k...

Mshambuliaji wa pembeni wa Real Madrid  Gareth Bale amewaomba radhi viongozi, mashabiki na wachezaji wa klabu hiyo, kufuatia kuonyeshwa kadi nyekundu wakati wa mchezo wa ligi ya nchini Hispania, uliochezwa usiku wa kuamkia leo dhidi ya Las Palmas.
Mchezo huo ulimalizika kwa Real Madrid kulazimisha sare ya mabao matatu kwa matatu na kutoa mwanya kwa mahasimu wao FC Barcelona kuongoza msimamo wa ligi, kutokana na ushindi mabao sita kwa moja walioupata dhidi ya Sporting Gijon.
“Siamini kama kosa nililolifanya limenisababishia kadi nyekundu. Nilipaswa kuadhibiwa kwa kadi ya njano, kwa sababu nilisukumwa na mimi nikamsukuma mpinzani wangu. Natambua nimefanya makosa makubwa sana kwa adhabu hii, sina budi kumtaka radhi kila mmoja ambaye aliumizwa na kitendo cha kutoka kwangu, na pengine huenda ilikua chanzo cha kupata matokeo ambayo hatukuyatarajia.”
“Tuna mchezo mgumu mwishoni mwa juma hili, tutacheza dhidi ya √Čibar na siku mbili baadae tutapambana na SSC Napoli katika michuano ya ligi ya mabingwa. Tunapaswa kupambana vilivyo ili tupate ushindi na kuendelea kuwa sehemu ya kuwania ubingwa wa La Liga msimu huu.” Alisema Bale
Kwa upande wa mlinda mlango wa Real Madrid Keylor Navas alisema: ” Bale amejaribu kuzungumza na kila mtu tulipokua katika vyumba vya kubadilishia, na ametutaka msamaha kwa makosa aliyoyafanya. Tumeungana kwa pamoja na kumwambia hapaswi kufanya jambo hilo kwa sababu kila mmoja anatambua kufanya makosa ni sehemu ya mchezo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: GARETH BALE AWAANGUKIA WADAU REAL MADRID
GARETH BALE AWAANGUKIA WADAU REAL MADRID
https://1.bp.blogspot.com/-t3Sgq2KTaWg/WLgSFgHZCsI/AAAAAAAAXKI/0J2DMjvbEMQVuemkmfNmu0VnFoHlUfGKQCLcB/s1600/Gareth-Bale-Red-Card.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-t3Sgq2KTaWg/WLgSFgHZCsI/AAAAAAAAXKI/0J2DMjvbEMQVuemkmfNmu0VnFoHlUfGKQCLcB/s72-c/Gareth-Bale-Red-Card.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/gareth-bale-awaangukia-wadau-real-madrid.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/gareth-bale-awaangukia-wadau-real-madrid.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy