GRIEZMANN AWASHUJAA AIBEBA ATL MADRID

Antoine Griezmann (Pichani) akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la pekee katika ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Granada huko Estadio Los Carmenes.

Griezmann amefunga bao hilo kwa kichwa katika dakika ya 84 akiunganisha krosi safi ya Koke na kuwa mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi ya kichwa kuliko wachezaji wote wa La Liga msimu huu.Amefunga mabao manne.JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post