HIVI NDIVYO AMBAVYO WEMA SEPETU AMESHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Leo March 8 Dunia nzima inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani, siku ambayo ni special kwa kuangalia na kuyasherehekea makubwa ambayo yamefanywa na Wanawake Duniani kote.
Kibongo bongo mrembo Wema Sepetu ameamua kuiadhimisha siku hiyo kiaina yake. Ikiwa ni baada ya kuamua kuungana na wanawake wenzie mkoani Morogoro na kuendesha zoezi la upandaji wa miti katika maeneo tofauti tofauti mkoani humo. Ikiwa lengo kuu la zoezi hilo ni kupambana na tatizo la uhaba wa maji siku za usoni.
Wema Sepetu alitusnua kuhusiana na mchongo huo kupitia page yake ya instagram baada ya kupost baadhi ya picha zinazo muonyesha akiwa katika zoezi hilo.

Leo ni siku ya wanawake Duniani, na kama mwanamke nikaonelea nijiunge na wanawake wenzangu wa Mkoa wa Morogoro siku ya leo katika upandaji wa miti ambao utakuja kuwa tija kwetu na kupunguza kero kubwa inayotukabili ya Maji... Wote tunajua kuwa mwanamke ndo anaekerwa zaidi katika upatikanaji wa maji... Labda haitotusaidia leo wala kesho, lakini itakuja kusaidia vizazi vyetu hapo baadae.... Morogoro ni eneo linalosadikika kuwa Chanzo cha Maji hata yale tunayotumia Mkoani kwetu (Daressalaam)... Ninajiskia faraja kuwa kutakuwa na helping hand yangu somewhere when it comes to Water supply in my society... Mazingira yetu hayana Itikadi wala Vyama, Yanagusa kila mtu... I feel honored to be part of this activity... Tumetoka Kata ya Kilakala and now tunaelekea kwenye Chanzo kingine kinachoitwa Mambogo.... For more pictures download my app only on Playstore.... #WemaApp #CallMeKamanda
A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on

A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post