JKCI YASHAURI WATANZANIA KUANDIKA WOSIA WA KUCHANGIA VIUNGO

SHARE:

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeshauri Watanzania kuwa na utamaduni wa kuandika wosia wa kuchangia viungo vya binadamu wanapo fa...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeshauri Watanzania kuwa na utamaduni wa kuandika wosia wa kuchangia viungo vya binadamu wanapo fariki ikiwamo moyo.
JKCI imetoa usahuri huo baada ya kuwa katika matarajio ya kuanza upasuaji wa kupandikiza moyo mwingine nchini, kwa wagonjwa wenye matatizo ya kiungo hicho muhimu mwilini.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo ya upasuaji na daktari bingwa wa moyo na mishipa ya damu, Dkt. Bashir Nyangasa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
“Tuko katika maandalizi ya kuandaa mapendekezo kwa ajili ya kupeleka bungeni ili bunge liridhie na kupitisha sheria itakayoruhusu mtu kuandika wosia wa viungo vyake kutumika baada ya kufariki, ikiwamo moyo, figo na viungo vingine,” amesema Dkt. Nyangasa.
Amesema umefika wakati kwa Watanzania kujiwekea utaratibu wa kuacha wosia wa kutumika kwa viungo vyao baada ya kufariki.
Aidha, amesema baada ya Mtanzania kufariki, kiungo husika kitatolewa kwenye maiti na kuhifadhiwa katika benki za viungo ili viweze kutumika na watu ambao wanauhitaji.
Hata hivyo, Dkt. Nyangasa amesema hospitali ya Apolo Bangalore ya India na hospitali nyingine za kimataifa za magonjwa ya moyo, kwa sasa zimehamia JKCI kutokana na huduma pamoja na vifaa vinavyopatikana katika hospitali hizo vinapatikana katika taasisi hiyo.
Kwa upande wake Naibu Mkurugenzi Huduma za Tiba, daktari Bingwa wa Wagonjwa wa Moyo, Dkt. Tulizo Shemu amesema kwa mwaka 2016 JKCI imefanya uchunguzi wa tiba kwa wagonjwa 973, kati ya wagonjwa hao 620 walipatiwa matibabu ya moyo ya bila kufungua kifua kwa kupitia mishipa ya damu (Catheterization) na wagonjwa 353 walifanyiwa upasuaji wa kufungua kifua.
Taasisi hiyo inategemea kuwa na kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia kuanzia kesho kutwa ambapo wagonjwa 25 wakiwamo watoto 15 na watu wazima 10 watafanyiwa upasuaji.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JKCI YASHAURI WATANZANIA KUANDIKA WOSIA WA KUCHANGIA VIUNGO
JKCI YASHAURI WATANZANIA KUANDIKA WOSIA WA KUCHANGIA VIUNGO
https://1.bp.blogspot.com/-1BUvZYHowCs/WMGNqHygE7I/AAAAAAAAXq4/Ip41GnVIJfcqhMHpAZqHeb9YOCp7N_fDwCLcB/s1600/moyo.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-1BUvZYHowCs/WMGNqHygE7I/AAAAAAAAXq4/Ip41GnVIJfcqhMHpAZqHeb9YOCp7N_fDwCLcB/s72-c/moyo.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/jkci-yashauri-watanzania-kuandika-wosia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/jkci-yashauri-watanzania-kuandika-wosia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy