JUMA NATURE ACHOMOA MADAI HAYA KUTOKA KWA HARMORAPA

SHARE:

Mkongwe wa bongo fleva Juma Kassim Nature ‘Sir Nature’ amekanusha vikali kulipwa na msanii Harmorapa katika wimbo wa ‘Kiboko ya mabishoo’...

Mkongwe wa bongo fleva Juma Kassim Nature ‘Sir Nature’ amekanusha vikali kulipwa na msanii Harmorapa katika wimbo wa ‘Kiboko ya mabishoo’ na kudai kwamba kijana huyo hana pesa za kumlipa na kusisitiza yeye alifanya kwa upendo tu.
Nature amesema kwamba alikubali kushiriki katika wimbo huo kwa sababu anaamini msanii huyo chipukizi ana uwezo mkubwa ikiwa ni pamoja na kuamini atafika mbali.
“Nikisema nimemlipisha Harmorapa pesa kwa ajili ya kolabo nitakuwa nakosea, mimi ni mtu mzima nilikubali kufanya wimbo na msanii yule kwa sababu ni mkali na anajua muziki pia na imani atafika mbali, hawezi kunilipa mimi, ana hela gani”. Alisema Juma Nature ndani ya EATV.
Katika hatua nyingine Nature kutoka TMK amesema yeye ameshakuwa mkongwe hivyo vijana kama kina Harmorapa wanapotokea kwenye ‘game’ inamlazimu kutoa sapoti ili hata watakapoondoka kuwe na watu wa kuendeleza muziki.
Aidha Nature amekanusha kusikia taarifa ambazo Harmorapa alidai kuwa amemlipa Nature kwa kolabo na kuongeza hizo taarifa kwa upande wake hazimkufikia rasmi.
Hata hivyo Harmorapa aliwahi kunukuliwa akisema siyo busara kwa wasanii wakongwe kuwalipisha pesa wasanii wachanga kwa kuwa ndiyo kwanza wanaanza kutafuta pa kutokea na kuweka wazi kuwa kwa upande wake alilazimika kumnunulia nguo Nature za kufanyia video ya ‘Kiboko ya Mabishoo’.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JUMA NATURE ACHOMOA MADAI HAYA KUTOKA KWA HARMORAPA
JUMA NATURE ACHOMOA MADAI HAYA KUTOKA KWA HARMORAPA
https://4.bp.blogspot.com/-gNNpQdPzZWI/WNtW3ok3H7I/AAAAAAAAY1g/I_2sxbPeN84gxpebC0tKEFrqORHl9ouhACLcB/s1600/16584743_1803724266561784_6968832540840820736_n-696x696.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-gNNpQdPzZWI/WNtW3ok3H7I/AAAAAAAAY1g/I_2sxbPeN84gxpebC0tKEFrqORHl9ouhACLcB/s72-c/16584743_1803724266561784_6968832540840820736_n-696x696.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/juma-nature-achomoa-madai-haya-kutoka.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/juma-nature-achomoa-madai-haya-kutoka.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy