KANTE AWAMALIZA MAN UNITED

Kiungo mkabaji N’golo Kante  ambaye alihusika katika kuiua Manchester United Oktoba mwaka jana kwenye dimba la Stamford Bridge kwa mara ya nyinge msimu huu, amegeuka kuwa shujaa wa mchezo wa Kombe la FA  baada ya kufunga bao la ushindi kwa upande wa Chelsea.
Kante alifunga bao hilo pekee dakika tano baada ya kipindi cha pili kuanza kwa mkwaju safi nje ya kumi na nane. Ushindi huo umeipelek Chelsea hatua ya nusu fainali.
Manchester United ilijikuta ikiwa pungufu baada ya kiungo wake Ander Herrera kulimwa kadi nyekundu kwa kumchezea vibaya Eden Hazard.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post