KENYA: MGOMBEA AAHIDI KUBORESHA BIASHARA YA UKAHABA AKISHINDA

SHARE:

KENYA:  Mgombea Ugavana wa Jimbo la Kisumu amewaahidi wapiga kuwa kuwa ataweka mazingira rafiki kwa wanaofanya biashara ya kuuza miili y...

KENYA: Mgombea Ugavana wa Jimbo la Kisumu amewaahidi wapiga kuwa kuwa ataweka mazingira rafiki kwa wanaofanya biashara ya kuuza miili yao (makahaba) na kuhakikisha wanapata faida endapo watamchagua katika uchaguzi mkuu ujao.
Dkt. Hezron Mc’Obewa, ambaye anarusha karata yake ya ugavana katika jimbo hilo kumng’oa kiongozi aliyepo sasa, Jack Ranguma aliyasema hayo siku ya Jumanne alipokuatana na makahaba zaidi 300 katika Taasisi ya Goan.
Kisumu governorship aspirant Hezron Mc'ObewaMgombea Ugavana Jimbo la Kisumu Dkt. Hezron Mc’Obewa (mwenye shati jeupe)
Dkt. Mc’Obewa alisema kuwa atashinikiza mikutano ya kimataifa iwe inafanyikia pia Kisumu ili makahaba hao waweze kupata soko.
“Watu hawa hulipa vizuri wanapokwenda nchi za ugenini, na wafanyabiashara hao hupata hadi Ksh 200,000 kwa usiku mmoja” alisema mgombea huyo. “Mikutano hii mikubwa ndiyo huleta wateja watakaowalipa ninyi kwa viwango vywa kimataifa” aliongeza.
Mbali na ahadi hiyo iliyozua gumzo maeneo mengi, mgombea huyo amewaahidi kuwa atahakikisha kunakuwapo ajira za kutosha ili watu wawe na fedha kwenye mifuko yako.
 “Biashara yenu ninyi itakuwa na faida kama wanaume watakuwa na fedha mfukoni, na hii ndio sababu lazima tuhakikishe tunamaliza ukosefu wa ajira” alisema Dkt. Mc’Obewa.
Mgombea huyo alisema kiongozi wa sasa wa jimbo hilo hawajali kabisa makahaba hao ambao chini ya mwamvuli wa Kisumu Sex Workers Sacco. Hivyo amewasihi kumchagua yeye ili waweze kufurahia biashara yao na atahakikisha anaimarisha ulinzi dhidi yao.
“Wakati mwingine unapata mteja ambaye anakupakiza kwenye gari lake, lakini usalama wako unakuwa ni mdogo, au  unafayia kazi katika mazingira machafu ambayo yanahatarisha afya yako. Haya yote ndiyo tunataka yabadilike”, alisema.
Aidha, mgombea huyo aliwataka makahaba hao kujisajili katika Shirika la Taifa la Bima ya Afya (NHIF) ili kuweza kupata huduma za kitabibu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KENYA: MGOMBEA AAHIDI KUBORESHA BIASHARA YA UKAHABA AKISHINDA
KENYA: MGOMBEA AAHIDI KUBORESHA BIASHARA YA UKAHABA AKISHINDA
https://3.bp.blogspot.com/-GVXNYkBdnTg/WN6Qs6u9J-I/AAAAAAAAY-k/lPG0mI1hQ2gz0goXDdaKZAnAK3SeNGgYgCLcB/s1600/ximage201-610x375.jpeg.pagespeed.ic.DTJRAZCEfQ.webp
https://3.bp.blogspot.com/-GVXNYkBdnTg/WN6Qs6u9J-I/AAAAAAAAY-k/lPG0mI1hQ2gz0goXDdaKZAnAK3SeNGgYgCLcB/s72-c/ximage201-610x375.jpeg.pagespeed.ic.DTJRAZCEfQ.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/kenya-mgombea-aahidi-kuboresha-biashara.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/kenya-mgombea-aahidi-kuboresha-biashara.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy