KEVIN DURANT KUFANYIWA KIPIMO CHA MRI BAADA YA KUUMIA GOTI

Mchezaji wa Golden State Warriors ambaye anaongoza kwa kufunga pointi Kevin Durant atafanyiwa kipimo cha MRI baada ya kuumia goti lake katika mchezo waliopoteza kwa pointi 112-108 dhidi ya Washington Wizards.

Durant alitoka akichechemea jana baada ya mchezaji mwenzake wa Golden Sate Warriors Zaza Pachulia kumuangukia mguuni.


Kevin Durant ambaye ni Mchezaji Mwenye Thamani kubwa NBA kwa mwaka 2014, alijunga na Golden State Warriors katika msimu huu kwa mkataba uliofikia dola 54.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post