KIGWANGALA AWATAKA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII KUKEMEA MAMBO YANAYOENDA KINYUME NA SHERIA ZA NCHI

SHARE:

Naibu Waziri wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala amewataka maafisa ustawi wa jamii nchini kuelek...

Naibu Waziri wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala amewataka maafisa ustawi wa jamii nchini kuelekeza nguvu katika mapambano ya vita dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya, vitendo vya ubakaji, ulawiti na mapenzi ya jinsia moja kwa kuwa vitendo hivyo vinatishia uhai na ustawi wa jamii.
Dkt. Kigwangala ametoa wito huo jana katika maadhimisho ya siku ya ustawi wa jamii duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Taasisi ya Ustawi wa Jamii, jijini Dar es Salaam.
 
“Wito wangu kwenu kuelekeza nguvu katika maeneo haya yanayotishia uhai na ustawi wa jamii. Kwa upande wa serikali hatua madhubuti zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa ili kutokomeza matatizo haya ambayo ni kinyume na maadili yetu watanzania.”
 
“Nitumie fursa hii kuzungumzia hali ya mmomonyoko wa maadili unaolikabili taifa letu. Tunashuhudia ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya, ukatili wa kijinsia, mapenzo ya jinsia moja, mimba za utotoni na mauaji ya vikongwe na albino. Haya ni mambo yanayohitaji ufumbuzi wa kitaaluma na taaluma yenu inayowajibu na nafasi kubwa ya kukabiliana na matatizo haya,” amesema na kuongeza.
“Nazitaka halmashauri kuwapatia ofisi za faragha maafisa ustawi wa jamii ambazo zinaendana na kazi zao. Pia mamlaka za serikali za mitaa kuomba vibali vya ajira kwa maafisa ustawi wa jamii na wasaidizi wao ambao wanahitajika kufanyakazi katika Kara,” amesema
 
Aidha, amezitaka halmashauri nchini kutenga bajeti ya kutosha ya huduma ya ustawi wa jamii kwa ajili ya kugharamia uwezeshaji wa makundi maalumu ikiwemo familia zenye dhiki, yatima na watoto walio katika mazingira hatarishi na wenye ulemavu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KIGWANGALA AWATAKA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII KUKEMEA MAMBO YANAYOENDA KINYUME NA SHERIA ZA NCHI
KIGWANGALA AWATAKA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII KUKEMEA MAMBO YANAYOENDA KINYUME NA SHERIA ZA NCHI
https://2.bp.blogspot.com/-GBhsM1ITK6c/WNIIakN3CiI/AAAAAAAAYYY/fSsjF2oF4HgvK0-p7Zpau640pE6DJYnWgCLcB/s1600/AHIK.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-GBhsM1ITK6c/WNIIakN3CiI/AAAAAAAAYYY/fSsjF2oF4HgvK0-p7Zpau640pE6DJYnWgCLcB/s72-c/AHIK.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/kigwangala-awataka-maafisa-wa-ustawi-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/kigwangala-awataka-maafisa-wa-ustawi-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy