KIUNGO WA CHELSEA N'GOLO KANTE NA KOCHA WAKE ANTONIO CONTE WATWAA TUZO

Kiungo wa Chelsea N'Golo Kante ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza anayechezea timu ya Jiji la London, huku kocha wake, Antonio Conte, naye akitwaa tuzo ya kocha bora wa mwaka wa London.

Dele Alli ambaye amekuwa akifanya vizuri na Tottenham na timu ya taifa ya Uingereza, ametwaa tuzo ya mchezaji bora kijana wa mwaka wa London, huku Frank Lampard alipewa tuzo ya heshima ya mchezaji wa Jiji la London aliyecheza kwa zaidi ya miaka 20.
                Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright akiwa na N'Golo Kante
               Kocha wa Chelsea Antonio Conte akipozi kwa ajili ya picha na tuzo yake 
                             Kiungo wa Tottenham Dele Alli akionyesha tuzo yake aliyoitwaa

                                          Mchezaji mkongwe Frank Lampard akiwa na tuzo yake
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post