KOCHA WA CHELSEA ANTONIO CONTE AWATAKA WACHEZAJI KUTOLEGEZA KAMBA

Kocha wa Chelsea Antonio Conte amewataka wachezaji wake kugangamala hivyo hivyo baada ya kuifunga West Ham jana kwa magoli 2-1 na kupiga hatua kubwa ya kuelekea kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Kwa ushindi wa jana Chelsea inaongoza kwa tofauti ya pointi 10, ikifuatiwa na Tottenham iliyo katika nafasi ya pili, huku ikiwa imebakia michezo 11.

Mashabiki wa Chelsea walikuwa wakiimba kuwa wanaelekea kutwaa ubingwa katika dimba la London, lakini kocha Conte amesema wanapaswa kufikiria kutwaa pointi 26 kwanza ili kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post