KOMPUTA YA KIKOSI CHA ULINZI CHA RAIS DONALD TRUMP YAIBIWA

Komputa mpakato ya kikosi cha ulinzi cha rais wa Marekani iliyokuwa na mipango ya jengo la Trump Tower pamoja na taarifa kadhaa nyeti imeibiwa kutoka kwenye gari la askari Jijini New York.

Komputa hiyo imewekewa mfumo wa kudhibiti taarifa, na haina taarifa za siri mno ambazo hazipaswi kuangukiwa mikononi mwa raia wa kawaida.

Komputa hiyo pia inataarifa kuhusiana na uchunguzi wa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Democratic, Bi. Hillary Clinton kuhusiana na kutumia barua pepe yake ya binafsi akiwa Waziri wa Mambo ya Nje.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post