KUTOKA KWENYE SOKA MPAKA MUZIKI, SIKILIZA NGOMA YA RONALDINHO ‘SOZINHO’

Legend wa timu ya Brazil na Barcelona ameamua kujifungua katika tasnia ya muziki kwa kuachia ngoma yake ya kwanza “Sozinho”.
Nyota huyo ambaye amestaafu kwenye soka tangu mwaka 2015, ambaye aliwahi kunga’ra na timu ya Barcelona, ameachia ngoma yake ya kwanza katika tasnia ya muziki ambayo imepewa jina la Sozihno.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post