LIONEL MESSI AIBEBA ARGENTINA KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

Kapteni wa Argentina Lionel Messi ameifungia nchi yake goli katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chile huko Buenos Aires na kuimarisha matumaini ya Argentina kufuzu michuano ya Kombe la Dunia.

Mchezaji wa Chile Jose Pedro Fuenzalida alimuangusha Angel Di Maria kwa kumsukuma kwa nyuma na kusababisha kutolewa penati.

Mfungaji nyota wa Argentina Lionel Messi aliipiga penati hiyo kwa utulivu iliyompita kipa Claudio Bravo ikiwa ni siku 269 kupita tangu akose penati dhidi ya Chile katika finali ya Copa Amerika.
             Angel Di Maria akilalamika kwa refa baada ya kusukumwa chini na Jose Pedro

                            Lionel Messi akiwa amempoteza mahesabu kipa Claudio Bravo
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post