LOWASSA AMTAKA RAIS DKT MAGUFULI KUFUTA KAULI YAKE

SHARE:

Aliyekuwa Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, amemtaka Rais Dkt. John Magufuli kuifuta kauli yake ya kuwataka...

Aliyekuwa Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, amemtaka Rais Dkt. John Magufuli kuifuta kauli yake ya kuwataka wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wasishirikiane na wabunge wa vyama vya upinzani.
Alizungumza hayo jana kwenye ziara ya viongozi wa CHADEMA katika mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Lowassa alidai kuwa kauli hiyo ya Rais Dkt. Magufuli inabomoa misingi ya amani iliyowekwa na waasisi wa taifa letu. Alisema “Namuomba Rais aisahihishe kauli hiyo na nawaomba watanzania tukatae kugawanywa… Tusikuballi, nchi hii ni yetu sote hakuna mtu mwenye haki miliki hapa. Ikienda vibaya tutaangamia wote na ikienda vizuri tutafaidi wote, kwahiyo tukatae.”
Aliongeza kuwa watanzania wamekuwa wakiishi bila kubaguana kwa misingi ya dini, rangi au ukabila na kukumbushia kauli iliyowahi kutolewa na baba wa taifa kuwa ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukishakula hutotaka kuiacha.
Katika kikao hicho alizungumzia pia juu ya hali ya maisha na uchumi kuwa mgumu, bei za bidhaa kupanda  na mipango mibovu ilivyosababisha sekta binafsi kuyumba hali iliyosababisha kuongezeka kwa watu wasio na ajira nchini.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: LOWASSA AMTAKA RAIS DKT MAGUFULI KUFUTA KAULI YAKE
LOWASSA AMTAKA RAIS DKT MAGUFULI KUFUTA KAULI YAKE
https://4.bp.blogspot.com/-ALHBT3TvW_g/WMv36gVfruI/AAAAAAAAYFg/WD4tvBIkAG8GrD3wbwt6viEHinKE5UmgQCLcB/s1600/28649928743_b58e493932_o-640x375.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-ALHBT3TvW_g/WMv36gVfruI/AAAAAAAAYFg/WD4tvBIkAG8GrD3wbwt6viEHinKE5UmgQCLcB/s72-c/28649928743_b58e493932_o-640x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/lowassa-amtaka-rais-dkt-magufuli-kufuta.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/lowassa-amtaka-rais-dkt-magufuli-kufuta.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy