MAHAKAMA YAMPA MBUNGE HALIMA MDEE ONYO LA MWISHO

SHARE:

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwonya na kumwambia Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), kwamba kadi za onyo kwa ajili yake zimeisha...

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwonya na kumwambia Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), kwamba kadi za onyo kwa ajili yake zimeisha kutokana na kushindwa kuhudhuria mahakamani siku ya kesi.
Kauli hiyo ilitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya kubaini kwamba ilitolewa hati ya kumkamata mbunge huyo kwa kushindwa kufika mahakamani.
Halima Mdee alipotakiwa kujitetea aliinuka na kujieleza kuwa amefika mahakamani hapo akiwa na nyaraka za safari ikiwamo tiketi na VISA na kwamba taarifa za safari alimpa wakili.
Kwa upande wa wakili wao, Hekima Mwesiga aliieleza mahakama kuwa nyaraka za kuiarifu mahakama juu ya safari ya Halima Mdee nje ya nchi kwa bahati mbaya hakuziwasilisha, alikuwa nazo Peter Kibatala ambaye alikuwa akiendesha kesi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.
“Tutaonana wabaya katika hili ni lazima unapofanya kitu adabu yake ifuatwe, Wakili hakufuata taratibu na Halima kabla ya kusafiri ulipaswa kutoa taarifa mahakamani ili uweze kupata ruhusa ya mahakama lakini haukufanya hivyo.
“Sasa nafikiri wote tufuate taratibu za kuhudhuria mahakamani, Halima Mdee kadi zako  za kukuonya zimeisha tafadhali,”alisema Hakimu.
Mdee na wabunge wengine wa Chadema, Mwita  Waitara, Saed Kubenea  na makada wao wanatuhumiwa kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresa Mmbando.
Kabla ya onyo hilo, mahakama ilisikiliza ushahidi wa upande wa mashtaka uliotolewa na Mrakibu wa Polisi, ambaye pia ni Msaidizi wa Operesheni Ilala, Eugen Mwampondele.
Mwampondele alidai siku ya tukio alimwona Rafii Juma na Halima Mdee wakimkunja Theresa Mmbando ili awape nyaraka.
Shahidi huyo alidai waliompiga Mmbando hawapo mahakamani. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, Diwani wa Kata ya Kimanga, Manase Njema (56), Halima Mdee (37) na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (40).
Wengine ni mfanyabiashara na kada wa chama hicho, Rafii Juma (21)pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephreim Kinyafu (33).
Inadiwa kuwa Februari 27, 2016 katika Ukumbi wa Karimjee Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam watu hao walimjeruhi Theresia na kumsababishia majeraha mwilini wakati wa uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAHAKAMA YAMPA MBUNGE HALIMA MDEE ONYO LA MWISHO
MAHAKAMA YAMPA MBUNGE HALIMA MDEE ONYO LA MWISHO
https://1.bp.blogspot.com/-tmjYFb3J44A/WMkH4iw4FwI/AAAAAAAAX90/EWS-k1TSU5MAwA9kiIQZsA9_P84Ze_xIACLcB/s1600/Pix-6-750x375.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-tmjYFb3J44A/WMkH4iw4FwI/AAAAAAAAX90/EWS-k1TSU5MAwA9kiIQZsA9_P84Ze_xIACLcB/s72-c/Pix-6-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mahakama-yampa-mbunge-halima-mdee-onyo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mahakama-yampa-mbunge-halima-mdee-onyo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy