MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI NCHINI- PORT LOUIS MAURITIUS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis nchini Mauritius , Machi 23, 2017. MNI
Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth akizungumza katika mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017.

MNI 1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth katika mkutano wa Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Mauritius kabla ya kufungua mkutano huo mjini Port Louis, Machi 23, 2017.
MNI 2
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo mjini Port Louis Machi 23, 2017.
MNI 3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth baada ya kufungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post