MAMA WEMA SEPETU AKAMATWA NA POLISI

SHARE:

Mama mzazi wa Wema Sepetu, Mariam jana alikamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam akituhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kuto...

Mama mzazi wa Wema Sepetu, Mariam jana alikamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam akituhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa mfanyabiashara, Alex Msama.
Kwa mijibu wa gazeti la Mwananchi, Mariam alikamatwa majira ya saa nne asubuhi na kufikishwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay jana ambapo alifunguliwa jalada la kesi inayomkabili. Aidha, aliachiwa kwa dhamana saa 12 jioni baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili.
Inadaiwa kuwa chanzo ni kuwa, Mariam alikubali kumuuzi Msama nyumba iliyopo Sinza, Dar es Salaam baada ya benki ya TIB kutaka kuipiga mnanda kufuatia mama Wema Sepetu kumdhamini mtu katika benki hiyo ambaye hakurejesha mkopo wake.
Kwa sababu Msama hakuwa na fedha ya kutosha kwa wakati huo, aliendelea kutafuta fedha katika benki na wakati huohuo akimpa Mariam fedha kidogo ambazo zilifikia TZS milioni 14. Mariam baada ya kuona mchakato wa Msama unachelewa, aliuza nyumba ile kwa mtu mwingine bila kumtaarifa Msama aliyekuwa tayari amechukua fedha zake.
Aidha, jana wakati wa mahojiano Kituo cha Polisi, Mariam alikiri kupewa TZS milioni 8 ambazo zipo kimaandishi na kusema hatambui fedha nyingine zaidi.
Msama alipoulizwa kuhusu kumshtaki Mariam alikiri na kusema kuwa yeye anataka kulipwa fedha zake zote.
Kwa upande wake Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu alithibitisha kushtakiwa kwa kada huyo na kusema aliandika maelezo ya awali kuhusu suala hilo na kuachiwa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAMA WEMA SEPETU AKAMATWA NA POLISI
MAMA WEMA SEPETU AKAMATWA NA POLISI
https://3.bp.blogspot.com/-a9UfsRpslPI/WLu2RPWtOGI/AAAAAAAAXZw/Hy_uGM055m0rCIo4gp0Oxt53IbDNL2RdQCLcB/s1600/IMG_4951-600x400-600x375.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-a9UfsRpslPI/WLu2RPWtOGI/AAAAAAAAXZw/Hy_uGM055m0rCIo4gp0Oxt53IbDNL2RdQCLcB/s72-c/IMG_4951-600x400-600x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mama-wema-sepetu-akamatwa-na-polisi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mama-wema-sepetu-akamatwa-na-polisi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy