MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE NA FC ROSTOV YA URUSI

Manchester United imetoa sare ugenini na FC Rostov katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Uropa hatua ya 16 uliochezwa nchini Urusi.

Katika mchezo huo United walipata goli muhimu kupitia kwa Henrikh Mkhitaryan aliyefunga kwa shuti la karibu kufuatia kazi nzuri ya Zlatan Ibrahimovic.

Ibrahimovic aliachia shuti lililogonga mwamba katika kipindi cha pili kabla ya Aleksandr Bukharov kunasa pande la Timofei Kalachev na kusawazisha goli.
                    Henrikh Mkhitaryan akifunga goli na kuifanya Manchester United kuongoza 

                     Aleksandr Bukharov akisawazisha goli na kufanya matokeo kuwa 1-1
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post