MBUNGE WA CHADEMA AOKOLEWA NA POLISI BAADA YA KUPITA MAKAO MAKUU CCM

Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA mkoani Dodoma, Kunti Majala aokolewa na Polisi huku dereva wake akipigwa na watu baada ya kupita na gari karibu na jengo la Makao Makuu ya CCM wnapofanyika yao.
Tukio hilo limetokea leo mchana ambapo mbunge huyo alikuwa anakatisha karibu na jengo la Makao Makuu wa Chama cha Mapanduzi ambapo gari lake lina maandishi ya M4C ubavuni.
Haikufahamika mara moja kama mbunge huyo alikuwa ametenda kosa lolote au alishambuliwa kwa vile tu alipita jirani na ofisi hizo ambapo CCM wanaendelea na vikao vyao.
WhatsApp Image 2017-03-11 at 2.59.00 PMWhatsApp Image 2017-03-11 at 2.59.05 PM
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post