MBWANA SAMATTA ATUPIA MAGOLI MAWILI WAVUNI WAKATI GENK IKIUWA

Mtanzania Mbwana Samatta usiku wa jana ametakata baada ya kuifungia timu yake ya KRC Genk magoli 2, katika ushindi wa magoli 5-2 dhidi ya KAA Gent.



Katika mchezo huo wa ligi ya Uropa Genk ilipata goli la kwanza kwa mpira wa adhabu uliopigwa na Malinovskiy, Kalu akaisawazishia Gent kabla ya Colley kufunga goli la pili.



Mtanzania Mbwana Samatta alifunga goli la tatu na Uronen akaongeza la nne, lakini Coulibaly akaifungia Gent goli la pili, kabla ya Samatta kufunga goli la tano.



JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post