MDOGO WAKE ASKOFU GWAJIMA AIBUKA NA KUMSHAMBULIA KAKA YAKE KWA KUTAKA VYETI VYA MAKONDA

SHARE:

Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutumia zaidi ya wiki tatu akizungumzia suala la dawa za kulevya na elimu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sala...

Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutumia zaidi ya wiki tatu akizungumzia suala la dawa za kulevya na elimu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa madai kuwa ametumia cheti cha mtu, ndugu yake kiongozi huyo wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ameibuka na kumshmbulia akimtaka aache mamlaka husika zifanye kazi yake.
Mwanasheria Methusela Gwajima ambaye ni mdogo wake Askofu Gwajima akizungumza na waandishi wa habari leo amehoji, kwanini suala la elimu ya Makonda limeibuliwa wakati huu ambapo amevalia njuga suala la vita dhidi ya dawa za kulevya. Watu hawa wanaozungumzia elimu ya Makonda walikuwa wapi tangu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni hawakusema chochote ila amegusa dawa za kulevya ndio wameibuka na kuanza kumshambulia?
Methusela amesema hamaanishi kuwa mabaya  ya Makonda yasinguzumzwe, lakini kwanini yamekuja wakati huu?
Kwanini wanataka kutuhamisha kwenye ajenda yetu iliyopo mezani? amehoji Methusela. Yani sasa Watanzania tumehamishwa tukaacha kujadili suala la dawa za kulevya na kwenda kujadili cheti cha mtu.
Mwanasheria huyo ametahadharisha kuwa kama vita hii dhidi ya dawa za kulevya itashindwa, huenda asiibuke mtu mwingine mwenye ujasiri kama Makonda kwa sababu kila mmoja atakuwa anahofia kufanyika kama alivyofanyiwa Makonda. Na haya yatakapotokea basi wahusika wa biashara ya dawa za kulevya ndio watakuwa wameshinda.
Wakati huo huo, amemshambulia kaka yake kwa kugeuza suala la dawa za kulevya na elimu ya makonda kuwa sehemu ya mahubiri kanisani kwake.
“Wewe umeshatuhumiwa, umeitwa Polisi, hivi kwanini usisubiri uchunguzwe? Kama wewe huhusiki si utaambiwa basi. Wameitwa watu wengi, wameitikia wito, kwanini sasa yeye amegeuza kuwa ajenda? Mbaya zaidi imekuwa ni ajenda kanisani. Kwa hiyo kanisa limegeuzwa kuwa kijiwe cha siasa na watanzania wamekaa kimya hawasemi,”alieleza Methusela
Kama Gwajima anadhani kuwa ameonewa aende mahakamani badala ya kikaa na kulalamika. Kwanini basi anakwepa mahakama na kufanya kanisa ndio sehemu ya kuzungumzia kila Jumapili ni Makonda, Makonda, Makonda, vyeti, vyeti amehoji Methusela.
Mwanasheria Methusela amesema ni lazima watanzania wajiulize ni kundi gani lililopo nyuma ya Askofu Gwajima ambalo ndilo linamsukuma kuendelea kumshambulia Mkuu wa Mkoa na kusababisha kuachwa kwa ajenda ya msingi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MDOGO WAKE ASKOFU GWAJIMA AIBUKA NA KUMSHAMBULIA KAKA YAKE KWA KUTAKA VYETI VYA MAKONDA
MDOGO WAKE ASKOFU GWAJIMA AIBUKA NA KUMSHAMBULIA KAKA YAKE KWA KUTAKA VYETI VYA MAKONDA
https://1.bp.blogspot.com/-95E41puxn6Y/WMGUY_dq1aI/AAAAAAAAXrc/qhYpHoT56uQf1NGlrsZLuVmPyTtuU-pswCLcB/s1600/1053318_874095082711111_9098205499476239295_o-1-1-750x375.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-95E41puxn6Y/WMGUY_dq1aI/AAAAAAAAXrc/qhYpHoT56uQf1NGlrsZLuVmPyTtuU-pswCLcB/s72-c/1053318_874095082711111_9098205499476239295_o-1-1-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mdogo-wake-askofu-gwajima-aibuka-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mdogo-wake-askofu-gwajima-aibuka-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy