MEYA WA JIJI LA ARUSHA CALIST LAZARO AMPONGEZA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA KWA KUFANIKISHA KUJENGA VYUMBA VYA MADARASA

SHARE:

Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia akiongea na waandishi wa habari                                                             ...

Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia akiongea na waandishi wa habari 

                                                                                               Na Woinde Shizza,Arusha 
 

Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro ametoa pongezi kwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Athumani Kihamia, timu ya wataalam wa Jiji hilo pamoja na baraza la madiwani kwa kufanikisha zoezi la kujenga vyumba vya madarasa, madawati kwakutumia mapato ya ndani pasipo kuchangisha wananchi 
Pongezi hizo zilitolewa juzi Jijini hapa kwenye Baraza la Kawaida la Madiwani lililoshirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali pamoja na wananchi wa Jiji la Arusha. 
 

Lazaro alisema Jiji limefanikiwa kuondoa kero ya uhaba wa dada rasa, madawati bila kuwachangisha wananchi ,jambo ambalo limesaidia wanafunzi kuanza masoma kwa wakati. 
Alisema watoto wote wa shule za msingi wameweza kuingia shuleni na kukaa kwenye madawati kwani Jiji wamefanikiwa kujenga madarasa 56,madawati 1250,madarasa 25 ya sekondari pasipo kuomba fedha sehemu nyingine pamoja na kuwachangisha wazazi. 
 

"Tunakupongeza wewe Mkurugenzi wa Jiji letu pamoja na timu ya wataalam wa Jiji pamoja na madiwani kwa kuhakikisha Jiji la Arusha linaondokana na kero ya uhaba huo wa madawati ambao awali ulikuwa ukisumbua wanafunzi " 
Naye Mkurugenzi wa Jiji hilo, Kihamia alishukuru kwa baraza hilo kutambua kazi anazozifanya za maendeleo na kuomba ushirikiano zaidi kwa madiwani hao ili kusukuma gurudumu la maendeleo kwa wananchi. 

Katika baraza hilo Pia kulikuwa na wawakilishi wa idara za serikali walioalikwa ili kutoa taarifa za utendaji kazi kwa baraza hilo ndipo hoja za tatizo la maji ilipoibuka kutoka kwa madiwani ambao walisema inashangaza Jiji la Arusha kuwa ni Jiji la Kitalii lakini bado wananchi wanakabiliwa na tatizo la uhaba wa maji huku wengine wakikosa kupata maji na bili kuwa kubwa. 


Akijibu hoja hiyo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Taka (AUWSA) Mhandisi, Ruth Koya alisema mamlaka hiyo inashughulikia kero hiyo ya maji na kutoa rai kwa wananchi kutoa taarifa kwa mamlaka hiyo ili kuweza kutatua changamoto ya maji Jiji la Arusha 
 

Pia suala la ukodishwaji maduka ya biashara liliibuliwa na madiwani katika maswali ya papo kwa papo kwa Meya na Mkurugenzi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo anangilia mchakato wa utoaji zabuni za maduka . ambapo Mkurugenzii wa Jiji , Kihamia alilazimika kukanusha uzumi huo kwa kusema kuwa Rc, Gambo anaweza kuingilia maamuzi ya baraza hilo kwa maslahi ya mkoa kwa mamlaka aliyonayo. 
 

Pia alisisitiza kuwa Rc Gambo alikutana na wajenzi hao wa maduka na wafanyabiashara ili kujua changamoto zinazowakabili na kuzitatua kwa maslahi mapana ya maendeleo. 
Awali Jiji la Arusha liliingia katika mvutano wa wafanyabishara waliopangisha katika majengo ya jiji tatizo liliopatiwa ufumbuzi na Mkuu wa Mkoa hivi karibuni.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MEYA WA JIJI LA ARUSHA CALIST LAZARO AMPONGEZA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA KWA KUFANIKISHA KUJENGA VYUMBA VYA MADARASA
MEYA WA JIJI LA ARUSHA CALIST LAZARO AMPONGEZA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA KWA KUFANIKISHA KUJENGA VYUMBA VYA MADARASA
https://4.bp.blogspot.com/-NstJU7ml2UU/WLmVGxDunoI/AAAAAAAAXPQ/EfK3X3oFXosLeShApruQs6KpN2_uHWxZQCLcB/s1600/17098282_1542915915741353_7817705183361614485_n.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-NstJU7ml2UU/WLmVGxDunoI/AAAAAAAAXPQ/EfK3X3oFXosLeShApruQs6KpN2_uHWxZQCLcB/s72-c/17098282_1542915915741353_7817705183361614485_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/meya-wa-jiji-la-arusha-calist-lazaro_75.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/meya-wa-jiji-la-arusha-calist-lazaro_75.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy