MFANYABIASHARA AJIUA KWA RISASI BAADA YA KUKUTWA NA SHEHENA YA VIROBA

SHARE:

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa, amethibitisha tukio la kujiua kwa wakala wa uagizaji na usambazaji wa vinywaji mbalim...

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa, amethibitisha tukio la kujiua kwa wakala wa uagizaji na usambazaji wa vinywaji mbalimbali ikiwemo pombe za vifungashio aina ya viroba, Festo Mselia.
Mfanyabiashara huyo ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mselia Enterprises anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi chini ya kidevu shambani kwake eneo la Msalato, nje kidogo ya mji wa Dodoma, baada ya polisi kumbaini akiwa amehifadhi shehena ya viroba, pombe ambazo serikali imepiga marufuku matumizi yake.
Akizungumzia tukio hilo mapema leo (Machi 8, 2017) Kamanda Mambosasa alisema kabla ya kujiua, mfanyabiashara huyo aliitwa kwa mahojiano polisi na kisha uamuzi ulifanyika kwamba shehena ya viroba aliyokutwa nayo katoni 1,269 isiuzwe. Hata hivyo, kamanda huyo amesisitiza kwamba taarifa zaidi zitatolewa baada ya uchunguzi wa tukio hilo kukamilika.
Lakini katika h atua nyingine, mmoja wa wanafamilia amezungumzia tukio hilo akidai siku ya Ijumaa (Machi 3, 2017) polisi walifika katika duka lake lililopo barabara ya 11 na kumtaka mmiliki wa duka hilo kufika Kituo Kikuu cha Polisi siku ya Jumatatu (6/3/2017), alifanya hivyo na kisha kurudi kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
Mwanafamilia huyo (jina linahifadhiwa) alidai kuwa asubuhi ya jana (7/3/2017) mke wa mfanyabiashara huyo alikwenda shambani na majira ya saa za mchana alirudi dukani baada ya mumewe kumtaka kufanya hivyo.
“Ilipofika majira ya saa 10 jioni gari mbili za polisi ikiwemo ya Kamanda wa Polisi Dodoma ziliegeshwa dukani hapo huku Mselia akiwa kwenye gari yake aina ya Prado akiendeshwa na rafiki yake aliyejulikana kwa jina moja la Mazengo.
“Aliposhuka kwenye gari alionekana kutokuwa katika hali ya kawaida,  waliingia ndani dukani pamoja na polisi na baada ya muda mfupi walitoka na kuondoka,” alidai
Kwa mujibu wa mwanafamilia huyo ilipofika majira ya jioni alipiga simu ya marehemu bila majibu hivyo alijua ametangulia nyumbani, lakini baadaye alipigiwa simu na mtu mwingine akimueleza kuwa amepigiwa simu na polisi kuwa kuna mfanyabiashara amejiumiza shambani kwake.
Kwa upande wake, kijana wa shamba aliyejitambulisha kwa jina la Baraka John alidai kuwa majira ya saa 12.30 jana (Machi 7, 2017) jioni alirejea nyumbani kutoka kulisha mifugo na kumkuta Mazengo akiwa amekaa kwenye mti.
“Mazengo ambaye ni mgeni kwangu aliniambia ameachwa hapo na Mselia ambaye ameenda shamba na kunieleza nichukue baiskeli na kumfuatilia huko shamba kwani ni muda mrefu umepita tangu aondoke,” alidai na kuongeza kuwa alipofika hilp alimkuta anatapata, hali iliyomlazimu kurudi kuomba msaada kwa Mazengo na majirani zake.
Naye Afisa Mtendaji Kata ya Msalato, Herman Malindila, alidai kuwa majira ya saa moja na nusu usiku wa jana alipokea taarifa kutoka kwa mtu aliyejiita mama Mboya akimtaarifu kuwa kulikuwa na mtu kajipiga risasi shambani.
Alifika eneo la tukio na kukuta wananchi huku kukiwa na ‘muungurumo’ wa mtu akiugulia maumivu huku pembeni yake kukiwa na bastola hivyo kuchukua uamuzi wa kuwaita polisi ili wafike eneo la tukio.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, James Charles, amethibisha kifo cha mfanyabiashara huyo akidai kuwa alipokelewa majira ya saa mbili usiku kama majeruhi na kujitahidi kumpa huduma ya kwanza lakini ilipofika majira ya saa tano usiku wa kuamkia leo (Machi 8, 2017) alifariki dunia.
Chanzo: Raia Mwema

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MFANYABIASHARA AJIUA KWA RISASI BAADA YA KUKUTWA NA SHEHENA YA VIROBA
MFANYABIASHARA AJIUA KWA RISASI BAADA YA KUKUTWA NA SHEHENA YA VIROBA
https://2.bp.blogspot.com/-LI9yRZ68L3E/WMBGxBO3LrI/AAAAAAAAXo0/PTO0kp5oR383Xgx5gaxM_wxZpUJE3BRjACLcB/s1600/IMG_9515-640x375.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-LI9yRZ68L3E/WMBGxBO3LrI/AAAAAAAAXo0/PTO0kp5oR383Xgx5gaxM_wxZpUJE3BRjACLcB/s72-c/IMG_9515-640x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mfanyabiashara-ajiua-kwa-risasi-baada.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mfanyabiashara-ajiua-kwa-risasi-baada.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy