MGUU WAMPONZA BONDIA DAVID HAYE NA KUDUNDWA NA TONY BELLEW

Bondia Tony Bellew ameshindwa kwa KO bingwa wa zamani wa uzito wa juu bondia David Haye aliyekuwa ameumia mguu katika pambano lililofanyika kwenye ukumbi wa O2 Arena, Jijini London.

Katika mchezo huo Haye alionekana kushindwa kusimama vyema akionekana kuumia vibaya mguu wake wa kulia, lakini alipambana hadi katika raundi ya 11 pale kambi yake ilipoamua kutupa taulo jeupe ili kuomba kumalizwa pambano hilo.
   Ngumi ya kushoto ya bondia Tony Bellew ikiwa imempata kwenye kidevu David Haye 
           Bondia David Haye akiwa amekaa chini baada ya kupigwa ngumi na Tony Bellew
                     Bondia David Haye akiwa amepigwa ngumi nzito ya kushoto na Tony Bellew
     David Haye akiwa katoka nje ya ulingo baada ya kusukumiwa ngumi nzito na Tony Bellew 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post