MKAZI WA KIJIJI CHA ISENGULE MKOANI KATAVI FATUMA ISSA (22) AJIFUNGUA WATOTO WANNE

SHARE:

Na Walter Mguluchuma . Katavi yetu Blog MKAZI wa kijiji cha Isengule , mwambao mwa Ziwa Tanganyika katikawilaya ya Tanganyika mkoani Katav...

Na Walter Mguluchuma . Katavi yetu Blog
MKAZI wa kijiji cha Isengule , mwambao mwa Ziwa Tanganyika katikawilaya ya Tanganyika mkoani Katavi , Fatuma Issa (22) amejifungua watoto wanne katika Hospitali ya Manispaa ya Mpanda mwishoni mwa wiki.

Muuguzi Mkuu wa Hospitali hiyo , Alexanda Kasagula alisema mama huyo alijifungua watoto hao wanne mwishoni mwa wiki kwa njia ya kawaida ambapo mama na watoto wake hao wote wakiwa na afya njema.

“Mtoto wa kwanza ambaye ni wa kike alizaliwa akiwa na uzito wa kilo moja na gramu 800 ,mtoto wa pili alizaliwa akiwa na uzito wa kilo moja na gramu 500 , watatu alizaliwa akiwa na uzito wa kilo moja na gramu 800 huku wanne alizaliwa akiwa na kilo moja na gramu 700.

Kati ya watoto hao watatu ni wakiume hali ya mzazi na watoto wake wote wanaendelea vizuri bado wamelazwa katika wodi ya wazazi hospitalini hapa “ alieleza . 

Kwa upande wake , Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dk Jafar Kitambwa alieeleza kuwa mama huyo na watoto wake wataendelea kuwa chini ya ungalizi hospitalini hapo hadi hapo watakaporuhusiwa rasmi kwenda nyumbani 

Mama huyo alieleza kuwa yeye na mume aitwae Agustino Andrew (25) kama wanando huo utakuwa uzao wao wa tatu ambapo wana idadi ya watoto watano.

“ Mie na mume wangu sasa tuna idadi ya watoto watano uzazi wangu wa kwanza nilizaa mtoto mmoja ambaye yuko hai.Hii itakuwa mara yangu ya pili kujifungua watoto zaidi ya mmoja katika uzao wangu wa pili nilijifungua mapacha lakini mmoja wao alikufa muda mfupi baada ya kuzaliwa na pacha mwenzake alikufa miezi mitatu baada ya
kuzaliwa.

Nimejifungua watoto wanne lakini tangu nijifungue sijapata tatizo lolote la kiafya naendelea vizuri mie na watoto wangu wote nawashukuru wauguzi ambao wamenisaidia hadi nimejiufungua salama bila ya matatizo yeyote yale “ alieleza Alieleza kuwa mama yake mzazi ndie anayemwangalia hospitalini hapo huku akimsadia kuwalea watoto hao .

Watoto wanne walizaliwa na mwanamke aitwaye Fatuma Issa 22 Mkazi wa Kijiji cha Isengule Tarafa ya Karema mwambao mwa Ziwa Tanganyika Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi wakiwa katika chumba maalumu katika Hospitali ya Manispaa ya Mpanda. 
Huyu ndiye mwanamke aitwaye Fatuma Issa 22 Mkazi wa Kijiji cha Isengule Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi akiwa katika chumba maalumu katika Hospitali ya Manispaa ya Mpanda baada ya kujifungua watoto wanne kwa wakati mmoja ambapo alijifungua watoto hao hapo machi 12 katika Hospitali hiyo kati ya watoto hao mmoja ni wakike na watatu ni wakiume.
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Lilian Matinga akiwa katika wodi ya wazazi katika Hositali ya Manispaa ya Mpanda aliwajulia hali watoto wanne mapacha waliozaliwa hapo Machi 12 mwaka huu kwa wakati mmoja na mwanamke aitwaye Fatuma issa 22 Mkazi wa Kijiji cha Isengule Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi. Picha Na Walter Mguluchuma-Katavi yetu Blog

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MKAZI WA KIJIJI CHA ISENGULE MKOANI KATAVI FATUMA ISSA (22) AJIFUNGUA WATOTO WANNE
MKAZI WA KIJIJI CHA ISENGULE MKOANI KATAVI FATUMA ISSA (22) AJIFUNGUA WATOTO WANNE
https://3.bp.blogspot.com/-DAa1qbLRmm4/WMtvgsteKiI/AAAAAAAAYDo/2xhzVEiluBEsD8tvGCC8CJBQ4Hp8QlXGgCLcB/s1600/IMG-20170316-WA0015.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-DAa1qbLRmm4/WMtvgsteKiI/AAAAAAAAYDo/2xhzVEiluBEsD8tvGCC8CJBQ4Hp8QlXGgCLcB/s72-c/IMG-20170316-WA0015.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mkazi-wa-kijiji-cha-isengule-mkoani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mkazi-wa-kijiji-cha-isengule-mkoani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy