MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO MASHAKA GAMBO AZINDUA HUDUMA YA TTCL 4G LITE

SHARE:

Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akihutubia kwenye uzinduzi huo wa TTCL 4G LTE .Picha na imma msumba Pichani ni Kaimu Afi...

Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akihutubia kwenye uzinduzi huo wa TTCL 4G LTE .Picha na imma msumba
Pichani ni Kaimu Afisa mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Wazir Kindamba, Akizungumzia mipango na mikakati wa TTCL.Picha na Imma msumba
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akifuatiwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL ,Wakipiga simu mubashara “live” kutoka Arusha kwenda Dar kwa kutumia laini mpya ya TTCL 4G LTE.Picha na Imma msumba
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo Akihudumiwa na kupata maelekezo jinsi ya kutumia laini ya TTCL 4GLTE kutoka kwa mtoa huduma wa Ttcl.Picha na Imma msumba
 
Kutoka kulia ni Mtendaji mkuu wa Huawei Tanzania Bw. Bruce,Akifuatiwa na Meneja wa TTCL Arusha Mh: Humphrey Ngowi,Anaefuatia ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Akifuatiwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Wazir Kindamba.
……………………………………………………………..
Na Imma Msumba Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo Amezindua rasmi  huduma ya TTCL 4G LTE Mkoani  Arusha, Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu huyo wa Mkoa amesema,
“Nashukuru sana TTCL kwa kutuletea 4G LTE  Mkoani kwangu maana Arusha ni Jiji la Kimataifa kutokana na kuwa kituo kikuu cha Sekta ya Utalii katika eneo hili la Afrika Mashariki. Pia Arusha ni Makao Makuu ya jumuia ya Afrika Mashariki, Soko la Kimataifa la Madini na vito vya thamani hasa Madini ya Tanzanite ambayo hayapatikani sehemu nyingine yoyote duniani, isipokuwa Mererani-Arusha-Tanzania. Aidha, Arusha ni kituo kikubwa cha Kitaaluma hapa nchini kikiwa na idadi kubwa ya shule na Taasisi za Elimu, Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda na Shughuli nyingine nyingi za Kitaifa na kimataifa.”

“Hata hivyo Arusha pia ni Jiji kubwa la kibiashara na kituo kikubwa cha shughuli za kiuchumi kati ya Tanzania na Nchi jirani hasa Kenya, Uganda, Sudan na nchi nyingine. Katika jamii hii ya Mkoa wa Arusha yapo makundi yenye idadi kubwa ya watu kama vile Wanafunzi, Wafanyakazi wa Sekta mbali mbali, Wafanyabiashara na Wakulima ambao wote hawa, wanahitaji sana Mawasiliano ya uhakika na yenye tozo nafuu katika kufanikisha shughuli zao. Natumia fursa hii kukuhakikishia kwamba, Arusha ni soko la uhakika la bidhaa na huduma za TTCL. Tunachohitaji ni huduma bora za uhakika.”
Kadhalika Rc Gambo alisisitiza kwamba yeye atakuwa mstari wa mbele kwa kutumia huduma ya hiyo 
“mimi binafsi na Watendaji wote walio chini yangu, kutumia huduma za TTCL ili kuhamasisha wengine kuiunga mkono Kampuni hii ambayo ni mali ya Wananchi kwa asilimia mia moja.
nitalifikisha kwa wenzangu ili litengenezewe utaratibu mzuri wa utekelezaji. Ila mimi binafsi, tayari nimeshasajili namba yangu ya TTCL ambayo nitaanza kuitumia leo hii hapa mbele yenu wote mshuhudie.”

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO MASHAKA GAMBO AZINDUA HUDUMA YA TTCL 4G LITE
MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO MASHAKA GAMBO AZINDUA HUDUMA YA TTCL 4G LITE
https://1.bp.blogspot.com/-gFEWZPEIBw4/WMldhHlHeFI/AAAAAAAAX_c/fIpmCROlrpgIK5eqdj0low6GNFURShVzgCLcB/s1600/2C4A7991.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-gFEWZPEIBw4/WMldhHlHeFI/AAAAAAAAX_c/fIpmCROlrpgIK5eqdj0low6GNFURShVzgCLcB/s72-c/2C4A7991.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mkuu-wa-mkoa-wa-arusha-mrisho-mashaka.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mkuu-wa-mkoa-wa-arusha-mrisho-mashaka.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy