MKUU WA WILAYA YA ARUSHA AUFUNGUA KIKAO KAZI CHA WATENDAJI WILAYA YA ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro(Pili Kuhsoto) akifungua kikao kazi na Maafisa Watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Mitaa.
dac2Wakuu wa Idara, maafisa watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na wenyeviti wa Mitaa 154 ya Jiji la Arusha wakifuatilia kikao kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
dac3Afisa Mtendaji Kata ya Baraa Anna Lebisa akiwasilisha changamoto mbalimbali zilizoko katika kata yake.
dac4Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro (Pili kushoto) akitolea ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wajumbe wa Kikao Kazi.
dac5Afisa Mtendaji Kata ya Ngarenaro Joshua Nasari (aliyesimama) akichangia katika Kikao Kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post