MOHAMMED DEWJI ASHINDA TUZO YA AFISA MTENDAJI MKUU ( CEO ) BORA AFRIKA 2017

SHARE:

Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mte...

Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu Bora wa mwaka 2017 inayotolewa na Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji Afrika (Africa CEO Forum).

Dewji ameshinda tuzo hiyo kwa kuwashinda Abdulsamad Rabiu (CEO wa BUA Group), Issad Rebrab (CEO wa Cevital), Naguib Sawiris ( CEO wa OTMT Investments), Said Salim Awadh Bakhresa (CEO wa Bakhresa Group) na Strive Masiyiwa (CEO wa Econet).

Akizungumza kuhusu ushindi huo, Dewji ameishukuru Africa CEO Forum kwa kutambua mchango wake kwa kumchagua kuwa mshindi tuzo hiyo lakini pia kuwashukuru Watanzania na Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli kwa kazi nzuri ya kudhibiti na kubana matumizi mabaya ya pesa ya umma.

“Ninashukuru sana Africa CEO Forum kwa heshima hii ambayo mmenipa, napenda kutoa tuzo hii kwa nchi yangu Tanzania, bila wao nisingekuwa hapa na MeTL Group isingekuwa katika nafasi iliyonayo sasa, nawashukuru sana kwa kuniruhusu mimi na familia nzima ya MeTL kukua na kufika hapa,

“Pia napenda kutoa heshima kwa Rais wangu John Pombe Magufuli anafanya kazi nzuri na wote tunajua Afrika inavyokabiliwa na vitendo vya rushwa lakini yeye ni mmoja wa watu ambao wanapambana na rushwa, kubana matumizi mabaya na wenye mwono katika kazi yake.” alisema Dewji.

Aidha Dewji alisema kwa sasa bara la Afrika uchumi wake unakua kwa kasi huku akitolea mfano wa ripoti yam waka 2015 ambayo ilionyesha uchumi wa Afrika unakua kwa asilima 4 kwa mwaka kulinganisha na Ulaya inayokua kwa asilimia 1.5 hivyo kuwashauri wanachama wa Afrika CEO Forum kutumia vyema fursa hiyo kwa kufanya kazi kwa bidii na kuzisaidia nchi za Afrika kukua kiuchumi.

Washindi wengine wa tuzo zilizotolewa na Africa CEO Forum ni;
CEO of the Year

 • Abdulsamad Rabiu, CEO, BUA Group
 • Issad Rebrab, Chairman, Cevital
 • Mohammed Dewji, CEO, MeTL – WINNER
 • Naguib Sawiris, Chairman, OTMT Investments
 • Said Salim Awadh Bakhresa, CEO, Bakhresa Group
 • Strive Masiyiwa, CEO, Econet
Young CEO of the Year

 • Anta Babacar Ngom Bathily, DG, Sedima – WINNER
 • Basil El-Baz, PDG, Carbon Holdings
 • Darshan Chandaria, PDG, Chandaria Industries
 • James Mworia, PDG, Centum Investments
 • Mohamed Ben Ouda, DG, SNTL
 • Lamia Tazi, DG, Sothema
African Company of the Year

 • CIEL Group
 • ECONET
 • Elsewedy Electric – WINNER
 • Label’Vie
 • MTN
 • OCP Group
African Bank of the Year

 • Attijariwafa Bank – WINNER
 • Banque Centrale Populaire
 • Ecobank
 • Mauritius Commercial Bank
 • Standard Bank Group
 • . United Bank For Africa
Private Equity Investor of the Year

 • Actis
 • Afrinvest – WINNER
 • Development Partners International LLP
 • Helios Investment Partners
 • Leapfrog Investments
 • The Abraaj Group
International Corporation of the Year

 • Allianz – WINNER
 • Coca-Cola
 • Mota-Engil
 • Orange
 • Siemens
 • Vitol
Tuzo za Africa CEO Forum zimetolewa Geneva, Switzerland ambapo wanachama wa jukwaa hilo wapo katika mkutano wa siku mbili wakijadili mambo mbalimbali ambayo yanawahusu wao kama Watendaji Wakuu na jinsi gani wanaweza kulisaidia bara la Afrika.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MOHAMMED DEWJI ASHINDA TUZO YA AFISA MTENDAJI MKUU ( CEO ) BORA AFRIKA 2017
MOHAMMED DEWJI ASHINDA TUZO YA AFISA MTENDAJI MKUU ( CEO ) BORA AFRIKA 2017
https://4.bp.blogspot.com/-eQWkZ5TNDIs/WNEPNGKhiNI/AAAAAAAAYUY/vbojZqUkZa4Nvy3X59N_cAZHkqAM6Bw8wCLcB/s1600/B%2B2.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-eQWkZ5TNDIs/WNEPNGKhiNI/AAAAAAAAYUY/vbojZqUkZa4Nvy3X59N_cAZHkqAM6Bw8wCLcB/s72-c/B%2B2.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mohammed-dewji-ashinda-tuzo-ya-afisa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mohammed-dewji-ashinda-tuzo-ya-afisa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy