MPISHI WA MAKAMU WA RAIS AFARIKI BAADA YA KUSHAMBULIWA NA NYUKI

SHARE:

MPISHI wa Makamu wa Rais, Frank Limo, amefariki dunia baada ya kung’atwa na nyuki. Limo aling’atwa na nyuki juzi akiwa Mtaa wa Makole, mk...

MPISHI wa Makamu wa Rais, Frank Limo, amefariki dunia baada ya kung’atwa na nyuki. Limo aling’atwa na nyuki juzi akiwa Mtaa wa Makole, mkoani Dodoma.
Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dk. Caroline Damian, alisema Limo alifikishwa hospitalini hapo juzi saa 9.15 mchana akiwa ameshafariki.

“Tulimpokea lakini tayari alikuwa ameshafariki kutokana na sumu ya nyuki kuingia kwa wingi katika mwili wake,” alisema Dk. Damian.
Akilizungumzia tukio hilo, Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkoa wa Dodoma, Emmanuel Ochieng, alisema walipigiwa simu na wasamaria wema kuwa katika eneo la Makole, kuna mtu ameng’atwa na nyuki na hajitambui.

“Tulifika eneo la tukio tukiwa na gari pamoja na dawa kwa ajili ya kumwokoa Limo, lakini ilishindikana kwa sababu inaonekana alikuwa na sumu nyingi mwilini.”
“Marehemu ni mpishi wa Makamu wa Rais, kwa hiyo baada ya kumwona tulimchukua na kumpakiza katika gari letu na kumpeleka katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akiwa tayari ameshafariki,” alisema.

Kwa upande wa majirani wa eneo hilo, walisema nyuki hao walimng’ata Limo baada ya kupita eneo hilo kwa miguu.
Akizungumzia tukio hilo, Gloria Kambwembwe, alisema nyuki hao wamekuwa katika mti ulio katika mtaa huo kwa zaidi ya miaka 10 na kwamba wameshapeleka taarifa katika vyombo vinavyohusika, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.

“Katika huu mti, hawa nyuki wapo zaidi ya miaka 10, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa licha ya kupeleka taarifa katika mamlaka zinazohusika.”
Naye Judith Herman, alikilalamikia Kikosi cha Zimamoto kwa kuchelewa eneo la tukio kwa kuwa walipigiwa simu tangu saa nne asubuhi na wao wakafika saa nane mchana. Kibaya zaidi, walipofika walikuwa hawana hata dawa ya kuulia hao wadudu, sasa tunajiuliza hivi kweli wako ‘serious’?
Chanzo-Mtanzania

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MPISHI WA MAKAMU WA RAIS AFARIKI BAADA YA KUSHAMBULIWA NA NYUKI
MPISHI WA MAKAMU WA RAIS AFARIKI BAADA YA KUSHAMBULIWA NA NYUKI
https://3.bp.blogspot.com/-ZRgPQhKCpHs/WNJv4EUw-1I/AAAAAAAAYak/NEqVDSjE68M26aofC9xeZrqTulhNPMdRQCLcB/s1600/120829103437_qanda_bees_buzzing_640x360_getty_nocredit.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-ZRgPQhKCpHs/WNJv4EUw-1I/AAAAAAAAYak/NEqVDSjE68M26aofC9xeZrqTulhNPMdRQCLcB/s72-c/120829103437_qanda_bees_buzzing_640x360_getty_nocredit.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mpishi-wa-makamu-wa-rais-afariki-baada.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mpishi-wa-makamu-wa-rais-afariki-baada.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy