MRISHO MPOTO ALIA NA WANASIASA ADAI WAACHIE ‘GAP’ KIDOGO WA KUTOA KAZI ZAO

SHARE:

Msanii Mrisho Mpoto amewaomba wanasiasa waachie ‘gap’ kidogo ili wasanii nao waweze kupata muda wa kutambulisha kazi zao za sanaa kwa jam...

Msanii Mrisho Mpoto amewaomba wanasiasa waachie ‘gap’ kidogo ili wasanii nao waweze kupata muda wa kutambulisha kazi zao za sanaa kwa jamii ambayo sasa imetekwa na upepo wa siasa.
Hayo yameibuka kutokana na matukio makubwa ya kisiasa kila kukicha na baadhi ya wasanii wakiongozwa na Mpoto kuandika katika mitandao ya kijamii kuwataka wanasiasa wajaribu kidogo kupunguza kasi yao ili nao waweze kusikika.
“Mtu amewekeza hela nyingi na anajaribu, anakuta hakuna ‘gap’ kwenye soko kwa sababu macho, mawazo yote ya watu yamehamia katika siasa.  Kwa hiyo nikasema hii ni hatari kwasababu unaweza sema labda kesho, keshokutwa patatulia, mtondo, mtondogo patatulia, unaichukulia kama mzaha vile lakini sasa unaona kila kukicha kuna ‘breaking news’ kwa hiyo nikasema hapana tafadhari kidogo watupe ‘gap’ kidogo ili watu waweze kufanya ‘promotion’ za nyimbo zao”. Alisema Mrisho
Aidha msanii huyo amesema siyo kweli kwamba wanasiasa hawaelewi chochote wanachowafanya wasanii na watu wengine wanaotegemea upepo wa ‘promo’ katika kufanya na kutangaza kazi zao.
“Wanasiasa wenyewe wanajua leo tukiamshe kipi siyo kwamba hawajui wana-strategy kabisa kesho tuamshe hiki keshokutwa tuamshe kile”. Alisisitiza Mpoto
Vile vile Mjomba amesema kwa sababu wanamsikia anawaomba kidogo ‘slow down’ ili vijana wao waweze ku-boost kazi zao kwa sababu ‘investment’ kubwa wameweka katika hizo shughuli, muda pamoja na fedha.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MRISHO MPOTO ALIA NA WANASIASA ADAI WAACHIE ‘GAP’ KIDOGO WA KUTOA KAZI ZAO
MRISHO MPOTO ALIA NA WANASIASA ADAI WAACHIE ‘GAP’ KIDOGO WA KUTOA KAZI ZAO
https://4.bp.blogspot.com/-4sZRIDL7MWs/WNTNNYMez4I/AAAAAAAAYnE/9--9BXU3JSEfylFaM-vxonrznYDaCFCEwCLcB/s1600/17126794_347010715694008_1783125517692567552_n-696x696.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-4sZRIDL7MWs/WNTNNYMez4I/AAAAAAAAYnE/9--9BXU3JSEfylFaM-vxonrznYDaCFCEwCLcB/s72-c/17126794_347010715694008_1783125517692567552_n-696x696.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mrisho-mpoto-alia-na-wanasiasa-adai.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mrisho-mpoto-alia-na-wanasiasa-adai.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy